Lakini kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni kwamba JLO amegoma kwenda kutumbuiza kwenye sherehe hizo za ufunguzi pamoja na kwamba ndio msanii alioimba wimbo rasmi wa michuano hiyo.
Staa huyo ambaye wiki iliyopita ameachana na mpenzi wake Casper Smart – leo hii jina lake halikuwemo kwenye listi ya wasanii watakaosindikiza sherehe za ufunguzi alhamisi hii.
Kwa mujibu wa FIFA, Jennifer Lopez hatotumbuiza kwenyey sherehe hizo kutokana na ‘sababu za kiufundi’ ambazo hazikufafanuliwa ni zipi.
Hata hivyo wasanii wengine walioshirikiana na JLO kuimba wimbo wa ‘Ole Ole’ – Pitbull na Claudia Leitte watapafomu kwnye sherehe hizo.
0 comments:
Post a Comment