Sunday, June 15, 2014

BAADA YA NDOA: EVE SASA KUJULIKANA KAMA MR. AND MRS. MAXIMILLION COOPER

Eve akiwa na mume wake baada ya kuoana, 
 Hapa ni sehemu ndoa yao ilifanyika na kuhudhuriwa na ndugu na marafiki huko Blue Marlin beach Ibiza, Spain. Mr Maximillion Cooper na Eve walikuwa wachumba toka 2010.
Eve akiwa na mume wake na watoto wake wakufikia.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI