Haya sasa Madame Rita wa EBSS |
Mzee Majuto
Salim Kikeke wa BBC Africa nae alishinda tuzo.
Babu Tale na Said Fela katika red Carpet ya Tuzo za watu
JB, mmoja kati ya actors na director wakali hapa Bongo.
Madam Ritta ali-rock na Beauty Point dress… ache tuuuuu!!!!
Wadau sasaaa!
Wadau zaidi...
Mzee Majuto akipiga news na Tv 1, Kituo bora cha burudani TZ
Yani hii ni Elegante affair indeed!!!
Uuuuummmmm!!!
Pan African designer Mustafa Hassanali
Pozi safi brother!
Designer Martin Kadinda aki-rock na design yake mwenyewe.
Director Josh Murunga na Salama Jabir wa Mkasi TV
Feza Kessy ambaye alikuwa ni kati ya waliokuwa nominated...
Many congrats to Nancy Sumari Sumari, Luca na team yake ya Bongo5 kwa hii step kubwa….!!!
Picha na Geofrey Adolf
0 comments:
Post a Comment