Tuesday, May 27, 2014

WADAU WAIKUMBUKA NDOA YA TIWA SAVAGE

MKALI wa KELE KELE LOVE-Tiwa Savage, na Meneja Wake, TEEBILLZ, kwani wameweza kutimiza ndoto yao ya muda mrefu, kufunga Ndoa.

Kama utakuwa ni Mfuatiliaji wa karibu wa TTM, utakuwa unafahamu vema kabisa kuwa, Mchakato wa Ndoa uliandaliwa kufanyika kunako jiji la Maraha, DUBAI, na ndicho Kilichofanyika.
Mpaka kufikia Mwishoni mwa mwaka Jana, Mahusiano ya Wawili hao yalikuwa wazi kwa kila mtu na hata mashabiki wa Tiwa kusubiri kwa hamu tukio hilo Muhimu.

Moja kati ya watu wenye majina makubwa Nchini Nigeria, waliohudhuria katika “Ubwabwa” huo, ni Pamoja na DON JAZZY, producer aliyemtoa Tiwa Savage katika Game la Muziki huku akidaiwa kukunjuka naye Mara Kadhaa, pamoja na Msanii BANKY W ambaye alikuwa Best Man wa Bwana Harusi TEEBILLZ

Aidha Info zinadai kuwa, Katika harusi Hiyo, DON JAZZY aliahidi kutoa zawadi ya Gari kwa TIWA SAVAGE

















0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI