Thursday, May 1, 2014

UKAWA WAFANYA KUFURU ZANZIBAR, WAFANYA MKUTANO WAO KIWANJA CHA KIBANDA MAITI (PICHA)

Wakazi wa kutoka kisiwa cha tumbatu walifika kwenye ukawa na mabango yao kiwanja cha Kibanda maiti

Muasisi mzee nasoro moyo alifika kwenye UKAWA
Makamu wa kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akikumbatiana na katibu mkuu wa Chadema Dr. Wilbrod Slaa, kulia ni katibu mkuu wa NCCR Mageuzi musona

Makamu wa kwanza Zanzibar Shariff Hamad akisalimiana na katibu mkuu Chadema Dr.  Slaa

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Sefu Hamadi akiwasalimia wananchi
Wananchi wakishangilia.
Wananchi wakiwa katika mkutano wa UKAWA

Wenyeviti wa UKAWA,  James Mbatia NCCR Mageuzi, kushoto ni Profesa Ibrahim Lipumba CUF katikati na kulia ni Mwenyekiti Freeman Mbowe CHADEMA, kwa pamoja wakiwasalimia wananchi

Askari wa kikosi cha FFU akiwa katika ulinzi

Wananchi wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kuonyesha serikali tatu

Emmanuel Makaid akisalimiana na mzee Nasoro Moyo muasisi
Wananchi wakiwa na mabango
Mwananchi huyu akionyesha picha aliyoiweka mgongoni ya rais mstaafu wa Zanzibar.
Credit: Jestina-george.com

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI