Wednesday, May 21, 2014

MAONYESHO YA UTAMADUNI NA WAJASILIA MALI YALIVYOFANA LEO

kikundi cha utamaduni 
cha selo kutoka handeni 
wakionyesha umahili  
wao









hata mimi naweza 
kucheza ngoma hiyo 
mimi ndio 
waziri wako wa 
utamadunihuku 
akiwa na fedha za 
kwenda kutunza
waziri wa habari 
utamaduni na michezo 
fenela mkangara 
akionyesha umahili 
wake wa kucheza na 
mtoto nyambucha 
mganga 
ngoma ya utamaduni 
kutoka ukerewe wakati 
wa ufunguzi
mwanasaa nyambucha 
mganga akionyesha 
umahili 
awake wa kucheza 
ngoma ya utamaduni 
kutoka mwanza ukerewe
watoto nyambuchi 
maganga
 na gasbeti bwele 
wakimshikilia
 mkia kiongozi wa ngoma 
ya utamaduni 
inayojulikana 
 kama utandawazi 
theath group 
matwigacharo kutoka 
mwanza ukerewe 
nansole john andrew 
aka pembe wakati wa 
sherehe ya ufunguzi wa 
maonyesho ya
wajasiliamali 
na utamaduni 
yaliyofanyika 
viwanja vya mnazi 
mmoja leo

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI