Wednesday, April 9, 2014

UNGEMUONA SHILOLE IGUMBA ENZI HIZO, HIVI NDIVYO ANGEKUWA AMETOKELEZEA!

shishi
UKICHUNGUZA utagundua katika mitandao mbalimbali imetoa picha hii ya msanii maarufu nchini Shilole a.k.a Shishi baby ambapo hii ilikuwa ni kipindi kileeee yupo huko mkoani Tabora, kabla hajaanza hata kujihusisha katika kiwanda cha burudani, hapa namaanisha filamu na muziki.

Hapo alikuwa akiitwa Zuwena tu, kabla ya majina kama Shilole na Shishi baby kuanza kutumika.

Kwa sasa Shilole ni huyu hapa katika picha hizi… !



Huyo ndio shish baby ambaye hivi juzi tu ametoka kuachia kichupa chake kipya kinachoenda kwa jina la Chuna Buzi…. Mhhh hiyo video ni shida sana!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI