Wednesday, April 9, 2014

HARAKATI ZA TAASISI YA BENJAMIN MKAPA NA AFYA YA WANANCHI WILAYANI BIHARAMULO

Ni nyumba zinazojengwa na Taasisi ya Benjamin Mkapa HIV/AIDS Foundation kwaajili ya wafanyakazi wa vituo vya  Afya Nyakahura kilomita 10 toka mizani Nyakahura.
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa nyumba za Taasisi ya Benjamin Willium Mkapa zilizoko Nyakahura wilayani Biharamulo mkoani Kagera na hapa ni katika harakati za upauaji.
Ujenzi unendelea kwa kasi.
Bango elekezi kwa kituo.
Kituo cha Afya.
Picha zote kwa hisani ya mdau namba moja aliye katika eneo la tukio Mr. Eddie Ngwasuma.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI