Thursday, April 10, 2014

MHE. BERNAD MEMBE ALIPOKARIBISHWA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI KWA CHAKULA CHA JIONI

Waziri wa mambo ya nnje Mhe. Bernad Membe akikaribishwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani mama Mulamula. Membe yupo Marekani mjini Washington DC, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactiful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mhe. Membe akimtambulisha naibu spika Job Ndugai kwa maafisa wa ubalozi Washington DC.
Naibu spika wa bunge la jamhuri wa muungano wa Tanzania Job Ngugai akisalimiana bwana Mulamula.
Mhe. Membe akisalimiana na rais wa jumuiya ya wa Watanzania DMV Bwana Iddi Sandaly
Afisa Mindi Kasiga akiongea machache kuhusu ujio wa Mhe. Bernad Membe kalba Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula kumtambulisha kwa wageni waalikwa waliojumuika na Waziri Bernad Membe kwenye chakula cha jioni na baadae Mhe. Membe kuongea mawili matatu kuhusiana na ujio wa safari yake.
Mhe. Balozi Mulamula akisalimiana na wageni. 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI