Friday, April 18, 2014

KONGAMANO LA MTANGAMANO WA AFRIKA MASHARIKI LAFANYIKA ZANZIBAR

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed akihutubia katika kongamano lililohusu mtangamano wa Afrika Mashariki mjini Zanzibar jana, kuelekea maadhimisho ya miaka hamsini ya muungano.
Washiriki katika kongamano la Mtangamano wa Afrika Mashariki wakipiga makofi baada ya kuimba wimbo wa Jumuiya hiyo kabla ya kuanza kwa kongamano mjini zanzibar jana.
Picha ya Pamoja ya washiriki wa Kongamano ya Mtangamano wa Afrika Mashariki lililofanyika mjini Zanzibar jana. (Picha na Evelyn Mkokoi na Anthony Ishengoma, Maafisa habari na mawasiliano serikalini) (FS)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI