Wednesday, April 9, 2014

HONGERA MANGE KIMAMBI KWA KUPATA MTOTO 'KEANU'

POST KADHAA AMBAZO AMEKUWA AKIZIWEKA KATIKA MTANDAO WAKE HIVI KARIBUNI
#KEANU IDDI'S BIRTH STORY.....
Cute Mange Kimambi
Nashukuru Mungu I had the easiest delivery ever... I was in labor for about 5hrs only
tena na epidural juu......Nimefika hospital at 12am nimejifungua 5:42am.......
Kikopo kama kawaida mpaka dakika ya mwisho....
Haki ya nani Mungu ambariki sana aliegundua hii kitu inaitwa epidural......
Uwiii I cant imagine kuzaa bila ile kitu... Yani hapo im in full blown labor  ila siskii kitu ndo kwanzaaa naangalia zangu TV......
Daddy chilling.... 
Photographer daddy,trying to capture view of L.A night lights and the hills.....
At some point nilianza kusikia lots and lots of pressure, not pain just pressure mie muoga mnoooo
so they called the  anesthesiologist arudi aniongezee dawa..... 15 mins later even the pressure was gone......
Shughuli ya kuvaa kofia utadhani  operation kumbe ni epidural tu... 
Baada ya hapo na selfie nikawa najipiga....lol... 
and  @ 5:42am I was holding my son...... 


  
Skin to skin with mommy...
Baada ya kukesha hapo nilikuwa nasinzia tu na katoto kangu….
Hey friends
Baby Keanu Iddi Lowrey made his grand entrance  today at 5:42am at Cedars Sinai Hospital.
He weighed 3.6 Kgs.
Im a bit too to tired to write more,all i can say is we are so in love with Keanu, We are sooooo happy....
Baby Keanu iddi.....
Thank you daddy Keanu for the private delux room, took the whole experience to another level...
Thank you Cedars Sinai. We had an awesome room with an awesome view of Hollywood Hills.... 
Daddy dearest.... 
A few hrs later daddy alienda home kuwaleta watoto....
Jamani my baby sitter is the best we called her at 11pm 20 mins later akawa keshafika nyumbani tukamwacha na watoto...
Angeniambia hawezi kuja saa zile sijui ningefanyaje....lol.. 
Awwwww
Mtu na daddy ake.... 
Leo tumeruhisiwa kurudi nyumbani.....
24 hrs later Bado nna kitambi kinaonekana kama kimimba cha mienzi 6 hivi...hahahahhahaha
Naanza kuvaa corset leo leo....
Going home....
msiogope nimeondoka hospital niko fresh kabisa ni policy yao tu , mama huruhusiwi kutoka wodini ukitembea lazma nurse akusukume kwa wheel chair mpaka kwenye gari....
OMG, Sijui nianzie wapi kuwasifia staff wa Cedars Sinai.
Mzungu anaandika barua nzuri ya kuwashukuru na kuwasifia staff wao, aisee
they were just very professional, very friendly and accommodating  yani sijapata ona
ndo maana celebrities wanakuja jifungua hapa, yani their service is top notch....
Mtu kafika home........
So wengi  mnaniuliza baby T iliishia wapi? ooh well we changed the name about a week ago.
Mama mtu nilifall in love na jina Keanu bahati nzuri na bibi yake (mzaa baba) pia alilipenda so ikawa rahisi kum convince baba yake kulikubali.....lol...
so Keanu Iddi Lowrey it is......
Mungu nikuzie mwanangu….
Selfie....
 
Over the weekend hubby decided to get everybody out of the house.....
We went to lunch then took Kenzo to a photoshoot....
lunching with my people..... LOVE 'EM....
family toast to welcome lil' Keanu to the family......
Keanu is such a good baby, ukitoka nae anajilalia kimyaaaaaa......
Mama Bhokenzo…..
NI 'BLOGGER' maarufu nchini Tanzania anaeishi ughaibuni akiishi maisha ambayo yanawavutia wengi hapa nchini, hasa kinadada wengi wanapenda lifestyle yake kwani ni mdada mwenye wingi wa upendo na furaha na mumewe na watoto wao wakubwa ambao ni dada na kaka wa Keanu ' the new happy born baby'
Hivi karibuni katika mtandao wake 'www.u-turn.co.tz' amekuwa akipost picha mbali mbali zinazomuonesha akiwa na ujauzito wa mtoto Keanu, lakini pia akaenda mbali zaidi kwa kupost picha mbali mbali zinazomuonesha akiwa familia yake wakiwa ni watu wenye furaha na wanaomsapoti mama 'Mange'
Wengi wamejifunza lakini pia kutambua umuhimu wa kumjali mama mjamzito kwani wanaume wengi kipindi mama anapokuwa mjamzito hupunguza ukaribu nao 'wajawazito'
Ni vyema kujiongeza 'sometimes' katika baadhi ya mambo kama kuonyesha upendo ule ule uliokuwa unauonyesha mwanzo, sio kwasababu eti ana ujauzito ndio uanze kutoka nje na kulewa au kuchelewa kurudi na mambo kadha wa kadha kumfanyia, vitendo hivi na vingine vingi humletea mama mjamzito msongo wa mawazo na kusababisha kiumbe aliye ndani kudhulika kwa namna moja ama nyingine.
Kutokana na hili, nasi ULIMWENGU WA HABARI hatuna budi kumpongeza kwa kumpata mtoto mwenye afya nzuri Keanu, tunaamini atakuwa chachu ya furaha zaidi na kufanya maisha yake kuwa ya furaha zaidi, kwani watoto ni malaika waletao furaha katika maisha yetu.
Picha na maelezo kwa hisani ya mtandao wa Mange Kimambi 
www.u-turn.co.tz

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI