Friday, April 11, 2014

AJALI YAUWA WAWILI.

Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi Asubuhi Hii.
Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria 10.Ajali hiyo imetokea Muda Huu katika Eneo la Mkata na Goba Barabara Kuu ya Chalinze Segera.
Chanzo;ITV.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI