Wednesday, March 12, 2014

TV 1 YAZINDULIWA RASMI LEO DAR

Mkurugenzi mtendaji wa kituo kipya cha luninga (TV 1 TANZANIA), Bw. Marcus Adolfsson akizungumza katikamkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika hoteli ya Southern Sun, jijini Dar es salaam hii leo, wakati wa uzinduzi wa kituo hicho cha luninga kinachorusha matangazo yake kutokea jijini Dar na kuonekana nchi nzima

Joketi Mwengelo ambaye ni mmoja wa watangazaji wa kipindi cha The one show kitakachokuwa kikirushwa katika Luninga hiyo akionglea jinsi watakvyo waburudisha watanzania.
Watangazaji wa kipindi cha The one show kinachorushwa na kituo hicho kipya cha lining cha TV 1 Tanzania, Joketi Mwengelo na Ezden Jumanne wakizungumzia namna walivyojipanga kuwaburudisha na kuwaeleimsha watazamaji wao katika kipindi hicho

Agnes sikaonga na meshack Nzowa ambapo hawa ni wasomaji wa taarifa ya habari ya TV 1.




Wanahabari wakifuatilia kwa makini katika uzinduzi wa kituo hicho cha burudani


Baadhi ya wadau wakifuatilia kwa makini katika uzinduzi wa kituo hicho cha burudani.
Hizi ni keki ambazo zilikuwa zimetengenezwa zikiwa na logo ya TV1 kwa juu.
Watu watano walipata nafasi ya kushinda Ving'amuzi vya Star Times ambavyo kwasasa ndio ving'amuzi pekee vinavyo onesha channel hiyo.
George Tyson akifuatilia kwa makini uzinduzi huo, ambapo yeye ni muongozaji wa vipindi vya The One show na Boys Boys.
Mkurugenzi mtendaji wa kituo kipya cha luninga (TV 1 TANZANIA), Bw. Marcus Adolfsson akielekezwa jambo na mwamdishi wa habari wa kituo hicho Bw. Deogratius Maro.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI