HAKIKA kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kauli mbiu ama unawezaita ni mikakati kabambe ya kumuinua mwanamke katika nyanja zote; katika jamii, siasa na zaidi kiuchumi.
Kamwe palipo na ukweli uongo hujitenga kwani ni ukweli usiopingika jamii nyingi za kiafrika zimetawaliwa sana na mfumo dume ambapo umekuwa ukitawala katika nyanja hizo zilizotajwa hapo juu.
Mfumo huo kwa sasa unapungua kwa kiasi kikubwa na ni imani ya waafrika na watanzania wengi mfumo huo upotee na uishe kabisa kwani mwanamke hatokuwa kiumbe dhaifu mbele ya mwanaume na haki, usawa, amani na upendo vitatawala kitu kitakacholeta maendeleo.
TAFAKARI: Ni je wanawake wenyewe wanapendana na kujaliana?
Friday, March 7, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS ...
-
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali kwa Mwaka 2014-01...
-
BEKI wa kimataifa wa Argentina Marcos Rojo ambaye anaitumikia klabu ya Manchester United atakaa nje ya uwanja kwa muda usiopungua wiki 1...
-
Mwanamuziki nguli wa dansi kutoka DRC Congo, Papaa Wemba kushoto akiimba na kucheza sambamba na madansa wake jukwaani usiku wa kuamkia ...







0 comments:
Post a Comment