Thursday, March 27, 2014

RAIS DKT. KIKWETE AZINDUA MRADI WA MAJI KWEMHOSI MUHEZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji Bibi Rukia Bakari muda mfupi baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Kwemhosi wilayani Muheza Mkoa wa Tanga leo.Mradi huo utavinufaisha vijiji vinane katika wilaya hiyo yenye uhaba mkubwa wa maji
(picha na Freddy Maro)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI