Friday, October 26, 2012
EID MUBARAK JAMANI EH!!!
5:13 AM
No comments
ulimwenguwahabari.blogspot.com unawatakia waislamu wote Eid Mubarak popote pale walipo duniani.
Kupitia mtandao huu wa ULIMWENGU WA HABARI pia tunapenda kuwaasa ndugu zetu waislamu pamoja na wale wa kikristo kushikamana katika kuiendeleza amani ambayo hayati Mwl. J.K Nyerere baba wa taifa hili na mzee mwenzie Abeid Karume walituachia kama msingi wa umoja na Usawa kwa wote.
Pia viongozi hao walisisitiza kuwa watanzania wote ni ndugu, hivyo kwa wale waliokuwa na uwezo ni vyema basi wakashiriki chakula cha pamoja na wale ambao katika siku hii ya leo hawajajaaliwa kwani kwa kufanya hivyo atapata baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu!!!
EID-MUBARAK!!
ULIMWENGU WA HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
MOTO ukiwaka katika barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam jirani na mataa ya Kamata kufuatia vurugu zilizotokana na Machinga wa Kariak...
-
NI ngoma ambayo ni kama remix ya kizaizai iliyofanywa na platnumz siku za nyuma. Ambapo hapa imemkutanisha Ngololo master na mkali kut...
-
WIMBO wa Watora mari ni moja kati ya collabo ambayo itabaki kuwa na heshima kwa Jah Prayzah katika maisha yake ya muziki. Wimbo huo al...








0 comments:
Post a Comment