lisa_fickenscher@juma_jux @juma_juxtaposed to @juma_jux meeen I am so dissapointed wit yah! @mabeste_tanzania aliniacha ndani naumwa akaja studio kukesha na wewe three days kukuandikia SISIKII na Ukweli ni kwamba hukumpa mabeste 2million alikuambia use me tuu kua umemlipa two million coz alitaka ajitangaze kibiashara akija MTU mwingine kutaka aandikiwe amlipe coz he needed money by that time as I was sick.... I was your no.1 fan ndio maana @mabeste_tanzania aliponiambia nijikaze aje studio nilukubali na apart from that I am @mabeste_tanzania Manager! Kwanza kabisa Leo ndo nimeona kua sisikii imeingia kwenye utunzi bora na Ukweli ni si wewe uliye andika hiyo ngoma na cover ya ngoma ilikua mabeste ndo mwandish lakini umeshindwa kumpa haki yake uwaambie kili hiyo ni haki ya mabeste....the bad thing ingine is SISIKII imechukua tuzo umewapa watu S/O umeshindwa kumpa mabeste??? Kama mmezoea mabeste mpole I am sorry Manager Niko serious na kazi na naendelea vizuri narudi mzigoni very soon!!! @juma_jux @juma_jux
NYUMBANI KITAIFA
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BIASHARA
Ulimwengu wa habari.
MATAIFA MENGINE
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BURUDANI
Ulimwengu wa habari.
MAAJABU DUNIANI
Ulimwengu wa habari.
Sunday, June 14, 2015
WANAUME KENYA WAAMUA KUUZA WAKE ZAO KWA WAZUNGU ILI KUPATA PESA ZA KUKIDHI MAISHA
2:55 AM
No comments
Nchini
Kenya, kumetokea kioja ambapo wanaume wengi wameamua kuanza kujihusisha
na shughuli ya kuuza WAKE zao kwa watalii wanaotoka mataifa mbalimbali
ili kujipatia PESA za kukidhi haja za Kimaisha.
Imesemekana kwamba
wanaume hao hulazimisha wake zao kuchukuliwa na watalii ambao wengi wao
ni jamii ya wazungu, wachina na wahindi ili tu kuingizia familia kipato.
Watalii hao hupenda sana kuulizia wanawake ambao ni rahisi kudanganyika kwamba wataolewa.
RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA AU
2:53 AM
No comments
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete
wakilakiwa mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow
Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa Mkutano wa 25 wa
kawaidavwa Umoja wa Afrika.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba
mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel,
Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano
wa 25 wa kawaidavwa Umoja wa Afrika.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na maofisa wa Ubalozi
wa Tanzania nchini Afrika Kusini mara walipowasili katika hoteli ya
Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini
kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 25 wa kawaida wa Umojanwa Afrika.
#PICHA NA IKULU
KUTANA NA *VIDEO* YA MBWA AMBAO HULA BAADA YA KUSALI…!
2:49 AM
No comments
MBWA ni miongoni mwa wanyama wenye
ukaribu sana na binadamu na kwa nchi za wenzatu mbwa amekua akithaminiwa
sana kama binadamu wengine kuanzia chakula, malazi mpaka mavazi.
Wapo watu ambao hutumia kiasi kikubwa
cha fedha kuwahudumia mbwa na mara nyingi mbwa hutumika kama walinzi
katika nyumba za watu.
Nimeoma nikuletee hii video inayoonyesha jinsi mbwa anavyoweza kukumbuka kusali kabla ya kula kila siku.
Je wewe unakumbuka kusali kabla ya kula kila siku?
Itazame hapa.
Wednesday, June 10, 2015
WEMA SEPETU AMKEJELI MSANII WA BONGO FLEVA LINAH!
3:44 AM
No comments
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madame'.
NI shiiiiiidah!
Siku chache baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Esterlina Sanga ‘Linah’ kulalamika juu ya kitendo cha Wema Sepetu ‘Madame’ kumchukua aliyekuwa bwana’ake Nangari Kombo, muigizaji huyo ameibuka na kutoa maneno yanayoashiria kejeli, kuwa aache presha, kwani zile ni picha tu!Katika gazeti la Risasi Jumamosi, toleo lililopita, iliripotiwa na kuchapishwa habari na picha zilizomuonyesha Madame akiwa amepozi kitandani na kijana huyo, aliyepata umaarufu baada ya kuingia ndani ya eneo la kuchezea katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam mwaka 2010, wakati wa mechi kati ya Brazil na Taifa Stars na kumkumbatia kiungo nyota wa mabingwa hao wa zamani wa dunia, Kaka.
Lakini Risasi Mchanganyiko lilipotaka kujua maoni yake juu ya shutuma hizo, Wema alisema kupiga picha na Nangari hakumaanishi mapenzi, kwani yeye ni mtu wa watu na picha kama hizo hupiga na marafiki zake wengi tu, hivyo Linah asiwe na shaka naye hata kidogo.
Lakini Risasi Mchanganyiko lilipotaka kujua maoni yake juu ya shutuma hizo, Wema alisema kupiga picha na Nangari hakumaanishi mapenzi, kwani yeye ni mtu wa watu na picha kama hizo hupiga na marafiki zake wengi tu, hivyo Linah asiwe na shaka naye hata kidogo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Esterlina Sanga ‘Linah’.
“Nilipiga naye kama ninavyoweza kupiga na marafiki wengine kama akina Martin Kadinda, Petit Man na wengineo. Sina uhusiano naye wa kimapenzi, naomba aamini kuwa ni rafiki tu wa kawaida,” alisema Wema na kuibua maswali juu ya aina ya uswahiba wa kawaida wa kupiga picha kitandani na mpenzi wa mtu!
“Nilipiga naye kama ninavyoweza kupiga na marafiki wengine kama akina Martin Kadinda, Petit Man na wengineo. Sina uhusiano naye wa kimapenzi, naomba aamini kuwa ni rafiki tu wa kawaida,” alisema Wema na kuibua maswali juu ya aina ya uswahiba wa kawaida wa kupiga picha kitandani na mpenzi wa mtu!
Subscribe to:
Posts (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Muda mfupi baada ya Nicki Minaj kutangaza kupitia Twitter kuwa ameachana na Meek Mill, rapper huyo amemchana demu wake huyo wa zamani kw...
-
Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi alioongozana nao wakiendelea na maongezi katika mkutano na katibu mkuu wa umoja wa mataifa ...
-
KUNA tamaduni nyingine hutumia nyama ya mbwa kama kitoweo na wakati mwingine huamini ina faida kubwa mwilini tofauti na nyama ambazo zim...
-
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi. MAAFISA , Wakaguzi, na Askari wa Jeshi la Polisi hapa nchini, wametakiwa kudunisha nidhamu ...
-
Wanachama na wapenzi wa CCM kalenga wakiwa wamembeba mshindi wa kiti cha ubunge jimboni humo Bw. Godfrey Mgimwa. CHAMA Cha Mapinduz...












