lisa_fickenscher@juma_jux @juma_juxtaposed to @juma_jux meeen I am so dissapointed wit yah! @mabeste_tanzania aliniacha ndani naumwa akaja studio kukesha na wewe three days kukuandikia SISIKII na Ukweli ni kwamba hukumpa mabeste 2million alikuambia use me tuu kua umemlipa two million coz alitaka ajitangaze kibiashara akija MTU mwingine kutaka aandikiwe amlipe coz he needed money by that time as I was sick.... I was your no.1 fan ndio maana @mabeste_tanzania aliponiambia nijikaze aje studio nilukubali na apart from that I am @mabeste_tanzania Manager! Kwanza kabisa Leo ndo nimeona kua sisikii imeingia kwenye utunzi bora na Ukweli ni si wewe uliye andika hiyo ngoma na cover ya ngoma ilikua mabeste ndo mwandish lakini umeshindwa kumpa haki yake uwaambie kili hiyo ni haki ya mabeste....the bad thing ingine is SISIKII imechukua tuzo umewapa watu S/O umeshindwa kumpa mabeste??? Kama mmezoea mabeste mpole I am sorry Manager Niko serious na kazi na naendelea vizuri narudi mzigoni very soon!!! @juma_jux @juma_jux
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
RAIS Mteule wa Marekani Donald Trump amepanga kufuta bajeti ya ununuzi wa ndege mpya ya Air Force One ambayo hutumiwa na marais wa nchi ...
-
KUPIGA punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye ta...
-
HII imetokea katika Mahakama ya Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya ambapo kesi ya Sabina Njeri mwenye umri wa miaka 23 ambaye anakabiliwa n...
-
Watanzania nadhani tuna matatizo sana, mtu mwenye akili timamu katika hali ya kawaida huwezi kuta mnyama amekufa ukakimbilia kumfanya k...
0 comments:
Post a Comment