RAPPER Flo Rida ameachia video ya wimbo wake wa “Zillionaire”, wimbo huu ulitoka July mwaka huu na uliwekwa kwenye filamu ya Master Minds, ambayo ilikuwa na mastaa kama Zach Galifianakis, Kristen Wiig, Leslie Jones, Owen Wilson, na Jason Sudeikis.
Wednesday, December 7, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...
-
1. Wema Sepetu Wakati mwingine si kitu rahisi kupima ushawishi lakini tutaangalia ni wazo mawazo gani ya mtu, mifano gani ya mtu, kipa...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS ...







0 comments:
Post a Comment