ANAWEZA kwenda Barbados na watu kuanza kumkimbilia nyuma wakidhania ni Rihanna. Ni kwa sababu kuna wakati Miss Tanzania 2010, Genivieve Emmanuel unaweza kumdhania ni ndugu yake na hitmaker wa Work, Robyn Rihanna Fenty.
Mrembo huyo ni miongoni mwa washindi wa zamani wa shindano la Miss Tanzania ambao si watu wa kuandikwa au kuzungumzwa sana na ameendelea kuwa mbali na skendo. Chini ni picha zinadhihirisha kwanini aliwahi kushinda taji hilo.
0 comments:
Post a Comment