NOVEMBER 19, 2016 Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Ester Bulaya iliyofunguliwa na wapiga kura wa jimbo la Bunda dhidi ya aliyekua mgombea wa CCM Stephen Wasira ilitolewa hukumu yake ambapo Mahakamu Kuu ilimpa ushindi na kumthibitisha Ester Bulaya kuwa Mbunge halali.
Mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo Ester Bulaya amezungumza kuelezea jinsi alivyoyapokea maamuzi ya Mahakama Kuu chini ya Jaji Noel Chocha juu ya kesi ya kupinga matokeo iliyofunguliwa na wapiga kura wanne wa mgombea Stephen Wasira.
“Kiukweli namshukuru sana Mungu, na wananchi wa jimbo la Bunda Mjini kwasababu walishaamua na mahakama imeamua lakini kwa uvumilivu wao na hivi ninavyozungumza kuna watu wametoka Musoma kwa miguu mpaka Bunda wakishangilia ushindi wa Mbunge wao” – Ester Bullaya
Saturday, November 19, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
SALUM MWALIM, JOHN MNYIKA NA DK SLAA Uchaguzi ndani ya chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA umefika tamati kwa kamati kuu ya cha...
-
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kuwa hayupo tayari kuitaja jinsi ya mtoto wake mtarajiwa kwa kuogopa ...
-
MKURUGENZI wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka amemuonya msanii anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Nasibu...
0 comments:
Post a Comment