Friday, October 23, 2015

LOWASSA AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI IFAKARA, MIKUMI MKOANI MOROGORO

 Mgombea Urais Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anaeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa akihutubia mkutano wa hadhara katika jimbo la Mikumi mkoani Morogoro hii leo.
 Lowassa akiteta jambo na Mgombea Ubunge wa Chadema, Jimbo la Mikumi, Joseph Haule 'Prof J'.




0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI