Mtu wangu nimefanikiwa kupita katika Jiji La Moshi kipindi hiki cha siasa kumekuwa na harakati nyingi za siasa ambazo zimefanya mji huu uchangamke zaidi ya ulivyokuwa kabla ya hapo,hapa nimekuwekea Taswira mbalimbali ya picha jinsi maswala ya siasa yalivyouteka mji wa moshi kwa sasa,ukiingia tu Mji huu kwa sasa lazima ukutane na mabango,Bendera, pamoja na vijana wa vyama mbalimbali wakiwa na hamasa ya uchaguzi tofauti na miaka ya awali,unaweza kufaidi Picha za matukio yote hapa mdau
Wednesday, September 23, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
O FISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WAUMMA Kumb. Na EA.7/96/01/G/50 1 Agosti, 2014 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekret...
-
Send Off ya Flaviana Matata ilifanyika huko mkoani kwao, Shinyanga. Flavvy akiwa na Matron wake, Jennifer Bash Akifanyiwa makeu...
-
Miss Redds Iringa 2013 Neema Mality Onyesho la Redds Miss Iringa 2014 sasa kufanyika Juni 20 katika ukumbi wa St Dominic mjini hapa kwa ...
-
Mhifadhi utalii katka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda m...






0 comments:
Post a Comment