Saturday, September 19, 2015

MSANII PEKEE WA KIKE ANAYEJIHESHIMU JUKWAANI HARUHUSU SHABIKI KUMSHIKA

 Pamela A.K.A Pam D msanii wa kike pekee anajejiheshimu  anapokua kazini jukwaani,Hajawahi ruhusu shabiki kumshika maungo yake na hata akishikwa anastuka haraka na kusogea.
Msanii wa kike pekee akiojiwa

 kwenye televisheni ana jicho la aibu.Maisha yake binafsi ya mapenzi anayaficha ana ahiba ya hali ya juu.
Ni mdogo wake Mesen Selekta mtayarishaji wa muziki shida ya wanamuziki wakike kutongozwa na kutembea na Maproducer imempitia mbali.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI