Tuesday, September 15, 2015

MBATIA, SELASINI NA KOMU WAPELEKA MABADILIKO JIMBO LA MOSHI VIJIJINI *PICHAZ*

Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akizungumza katika mkutano huo.
Mbatia akimtamburisha mgombea udiwani katika kata ya Arusha Chini, Rojas Mmary mbele ya wapiga kura.
Mbatia akimtambulisha mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini, Anthony Komu katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika kata ya Arusha chini TPC.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI