Monday, September 14, 2015

MADAKTARI WA CHINA NA WAZALENDO WASHIRIKIANA KUTOA HUDUMA ZA AFYA WILAYA YA KASKAZINI B” ZANZIBAR

Daktari dhamana Kanda ya Unguja  Dokta Fadhil Ramadhan akitoa maelekezo kwa Madaktari bingwa kabla ya kuanza  zoezi la matibabu katika kijiji cha Kitope.
 daktari Fei Jie akimpima mtoto Sara Shaaban maradhi ya meno na koo mkaazi wa kitope wilaya ya kaskazin B”.
wakaazi mbali mbali wa mji wa kitope wakipatiwa matibabu.
 
  Mtoto Halila hamza nae akipata huduma za kupimwa uzito.
Dokta mkuu Xu Zhuoqun akizungumza na waandishi wa habari juu ya wanavyo endelea na zoezi la kuwapatia huduma za matibabu wananchi wa Zanzibar.
#Picha na Abdalla Omar - Maelezo Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI