Friday, November 14, 2014

MACHINGA COMPLEX LANUSURIKA KUTEKETEA BAADA YA MOTO MKUBWA KUCHOMA MABANDA *PICHAZ*

 MOTO mkubwa umezuka katika soko la Machinga Complex leo hii na kusababisha baadhi ya maeneo katika soko hilo kuharibika.
Chanzo chetu kinaarifu kuwa ni moto ambao umezuka baada mafundi waliokuwa wanachomelea katika moja ya banda ambalo lilikuwa karibu na banda la magoro ya watoto, hivyo cheche zikarukia katika godoro moja na kusambaa kwingineko.
Hakuna aliyejeruhiwa katika ajali hiyo

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI