Tuesday, September 8, 2015

ISIKILIZE NA UIPAKUE TRACK MPYA YA RADIO & WEASEL & WIZ KID NIPE KINFUNGUO YAKO *AUDIO*

KATIKA track hii mpya Wiz Kid ambaye ni msanii toka Nigeria ameonesha ujuzi wa juu sana baada ya kuimba mistari kadhaa kwa kutumia Lugha ya Kiswahili, na ukichukulia lugha ya Nigeria ni Kiingereza na lugha za kikabila za huko.
Msikilize hapa…!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI