Sunday, September 13, 2015

HEBU ANGALIA HAWA RAIA WAKWARE WANACHOIFANYIA SANAMU YA NICKI MINAJ *PICHAZ*

SANAMU ya wax ya rapa wa Young Money Nicki Minaj haitatolewa kwenye jumba la makumbusho la Madame Tussauds mjini Las Vegas museum kwa mujibu wa bilboard.
Sep 9 2015 palikuwa na taarifa ya sanamu hio kuondolewa baada ya vitendo vya hovyo kufanywa na mashabiki wa rapa huyo kwenye sanamu hio.
Jumba hilo la makumbusho limesema litaongeza ulinzi zaidi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI