Wednesday, August 19, 2015

MIEZI MITATU TANGU KUCHOMWA KWA MA REDIO ZA KIBINAFSI NCHINI BURUNDI *PICHAZ*

Redio RPA
Baraza la seneti limeanza kukutana na hapo juzi viongozi wake wamechaguliwa, mwenyekiti atakuwa ni Bwana Reverien Ndikuriyo ambaye ni muhutu kutoka chama CNDD-FDD uko Makamba.
Ni mwezi mitatu sasa tangu kuchomwa kwa ma redio za kibinafsi nchini Burundi mpaka sasa ukimwa ndio umetanda na serekali imekuwa na uhuru  ili kuendeleza vitendo vyao vya kialifu, rushwa, mauwaji na hata matumizi mabaya ya mali ya uma bila kuofia kwamba watasemwa ama kukosolewa.
serekali ya Burundi imetakuwa watajitaidi  kutafuta suluhu kuusu swala hilo uku wana habari wametaja kuchoshwa na kauli izo na kutaja kuwa wanaitaji vitendo.
Musemaji wa idara ya upelelezi aliongea kauli nzuri sana na kusema kwamba atuwezi kuishi kwenye nchi ambao viombo vya habari vimewekwa kando na ameahidi kuwa serekali imeanza mazungumzo na viombo vya habari, kauli iyo imepokelewa vyema na wakuu wa viombo vya habari ambao kwasasa wanasubiri ni vitendo uku wanahabari zaidi ya 70 wamelazimika kuihama nchi na walio baki awawezi kufanya kazi yao kwa amani, usalama na utulivu. Hali hii imepelekea ukimwa wa viombo vya habari kuzuka habari za uongo kuzagaa.
Redio Rema FM

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI