Tuesday, August 18, 2015

HACKERS WAMCHONGANISHA FID Q NA WEMA SEPETU, INSTA YA FID Q APEWA WEMA!

Kama unaitafuta akaunti ya Instagram ya Fid Q kuanzia jana bila mafanikio basi fahamu kuwa hackers wameitaifisha, kufuta picha zake zote na kuigeuza kuwa ya Wema Sepetu.

Akaunti hiyo ina followers zaidi 160,000.

“Account hii imekuwa hacked jana usiku ila mimi nimegundua leo asubuhi,” Fid ameiambia Clouds FM.


Niligundua baada ya kuingia katika account ikawa inanigomea. Mimi nilikuwa nimeandika mwanaharakati, sasa naona wameamua kubadili na jina na kuandika jina la Wema Sepetu,” alisema.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI