Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
Wananchi wakishangilia wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
Sehemu ya umati wa wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli (kulia) akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
Sehemu ya umati wa wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli (kulia) akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
Wananchi wakishangilia wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Mji wa Katumba , mkoani Katavi. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Dk. Magufuli akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Majalila, wilayani Mpanda, ambapo aliahidi kujenga barabara ya Mpanda Kigoma kwa kiwango cha lami enedapo wananchi wakimchagua.
Mzee akifurahia hotuba ya Mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM, Dk. John Magifuli katika Kijiji cha Vikonge aliposimama kwa muda kuwasalimia wananchi akielekea Kata ya Mishimo kufanya kampeni wilayani Mpanda, Katavi leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia kabla ya kumtambulisha Mgombea urais wa Tanzania Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Mishimo, Mpanda mkoani Katavi leo.
Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Mishimo Mpanda
Sehemu ya umati wa wananchi wakimsikiliza Dk John Magufuli katika Kata ya Mishimo
Dk Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni katika Kata ya Mishimo ambapo aliahidi kuunda baraza litakalofanya kazi zaidi ya yeye. Pia ataanziasha Mahakama ya Wala rushwa na Mafiusadi
Wakazi wa Kata ya Katumba, wilayani Nsimbo, Mkoa wa Katavi wakishangilia kwa furaha walipomuona Dk Magufuli akitambulishwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimtambulisha Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata ya Katumba, wilayani Nsimbo
Dk. Magufuli akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Azimio mjini Mpanda leo
Ni furaha iliyoje kwa wananchi wakati Dk. Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Mpanda leo
Dk. Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kabla ya kupanda jukwaani kuhutubia mjini Mpanda leoa
0 comments:
Post a Comment