Wednesday, August 19, 2015

BEN KIGAILA ALIPOCHUKUA FORM YA UBUNGE DODOMA MJINI (CHADEMA)*PICHAZ*

Mkurungenzi wa Oganezesheni na Mafunzo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Benson Kigaira akiwa kwenye gari la wazi akipungia wafuasi wa chama hicho, wakati akielekea kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania ubunge jimbo la Dodoma mjini leo Jumatatu Agosti 17, 2015
Kigaila, akipokea fomu kutoka kwa afisa wa CHADEMA mkoani Dodoma, Elizabeth Gumbo

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI