Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha, akishuka kwenye gari la polisi kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, wakati alipofikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma za kufanya vurugu kwenye kituo cha polisi Oysterbay juzi.
(Picha na Said Powa)
0 comments:
Post a Comment