Saturday, April 4, 2015

CHEKA UNENEPE: KUTANA NA MUUZA SAMAKI MKOROFI NA MTEJA MWENYE MASWALI!


MTEJA; Samaki bei gan?
MUUZAJI; 5000!
MTEJA; Mwisho?
MUUZAJI; Mkiani!
MTEJA; Mbona samaki mwenyewe kalegea hivyo?
MUUZAJI; Muulize labda alikuwa shoga baharini!  
MTEJA; Mbona una majibu ya shombo lakini?  
MUUZAJI; Kwasababu nauza samaki ingekua nauza sukari majibu yangekua matamuu.
ULIMWENGU WA HABARI UNAWATAKIENI WOTE SIKU NJEMA!!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI