Friday, March 20, 2015

PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA BUNDA

PG4A6871
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Bunda katika  kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ,Machi 20, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji. . Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na kushoto ni Mbunge wa Mwibara, Kange Lugora.  Wapili kulia ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasirra.
PG4A6869
PG4A6820
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua eneo la chanzo cha maji cha mradi wa maji wa Bunda katika  katika ziwa Victoria kwenye kijiji cha Nyabehu mkoani Mara  ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji, Machi 20, 2015. Kulia kwake ni Mbunge wa Bunda na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasira.
PG4A6801
PG4A6880
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua moja kati ya mashine tisa za kusukuma  maji katika mradi wa Maji wa Bunda  uliopo kwenye ziwa Victoria katika kijiji cha Nyabihu  wilayani Bunda ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji Machi 20, 2015. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe.
#Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI