Monday, February 9, 2015

SHUHUDIA JIBU ALILOTOA WIZ KHALIFA KUHUSU KURUDIANA NA MAMA WATOTO WAKE 'AMBER ROSE' *PICHA* (18+YRS)

BAADA ya shabiki kumshauri Wiz Khalifa kurudiana na mke wake Amber Rose, Wiz Khalifa ametoa majibu makali twitter kuhusu ushauri huo.
Wiz anaonekana kuridhishwa na hali ya kuwa anakwenda kumuona mtoto wake mara kwa mara na maisha yake yanaenda powa, Wiz na Amber ni wazazi wa mtoto wa kiume Sebastian Taylor Thomaz.
September 2014 Amber aliomba talaka sababu ikiwa ni sababu za siri ya ndani na utofauti wao, alilipwa dola milioni moja na Wiz Khalifa.
Shabiki > Rudiana na mke wako Wiz

Wiz Khalifa > Hapana , ila asante.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI