Sunday, February 1, 2015

MSHUHUDIE MNYAMA 'SIMBA SC' ALIVYOMRARUA JKT RUVU 2 - 1

Kikosi cha timu ya Simba SC kilichoanza dhidi ya JKT Ruvu Uwanja wa taifa na kushinda bao 2-1.
Kikosi cha timu ya JKT Ruvu kilichoanza leo.
Makapteni wakisalimiana na marefa kabla ya mechi.
Mashabiki wa Simba wakishangilia.
Wachezaji wa Simba wakiwasalimia mashabiki baada ya mechi.
TIMU ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu tar 31/02 Uwanja wa Taifa, Dar. Sasa ina pointi 16.
Mfungaji kwa upande wa Simba ni Danny Sserunkuma kipindi cha kwanza na kipindi cha pili.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI