Sunday, February 8, 2015

AHAHAA: KUTANA NA PICHA ZA WASANII WANAOSUMBUA NIGERIA KWA SASA WALIVYOKUWA KABLA YA KUWA MASTAA

NIMEKUTANA na hizi picha mtandaoni ambazo kiukweli ni picha za muda kidogo za wasanii hawa Davido yule mkali wa Skelewu, Wiz kid wa Star Boy anayesumbua na track yake ya On top of your matter na Ice Prince anayetamba na More, VIP na nyingine kibao.
Hawa jamaa hapo chini ndivyo walivyoonekana na kwa sasa ukikutana nao wanashine balaa.
Hela bhana kumbe ukiipata inakuletea muonekano mzuuuri hadi basi.
Ndo maana kuna misemo mingi kwasababu utasikia Ooooh 'Pesa sabuni ya roho', 'Mtu mwenye pesa sio mwenzio' na misemo mingine miingi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI