Tuesday, January 6, 2015

WAFAHAMU VIONGOZI WA PANYA ROAD WALIOTIWA MBARONI NA JESHI LA POLISI *PICHAZ*

Pichani ni viongozi wa kundi la Panya road baada ya kukamatwa na jeshi la polisi huko Tandale, watu hawa ndio vinara waliosababisha jiji kutokalika kwa masaa kadhaa.
Na karoli Vinsent.
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limewakamata  jumla ya mbwa mwitu 510 ikiwa ni harakati za kufichua kundi hio kubwa na Panya road waliotikisa jiji La Dareslaam mapema hivi karibuni.
Kamanda wa polisi kanda maalum ya daresalaam, akionyesha picha za viongozi wa panya road katika kikao chake na waandishi wa habari mapema hii leo, katika kikao hiho kova amesema tayari jumla ya panya road 510 wamekamatwa pamoja na viongozi wao.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, kamanda wa polisi kanda maalum ya Dareslaam amesema tayari jeshi hilo pia limefanikiwa kuwakamata viongozi muhimu wa kundi hilo ambao mara kibao wameonekana kusadia kufanyika kwa vurugu hizo.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI