Tuesday, January 6, 2015

UNAAMBIWA HUYU NDIYE MPENZI MPYA WA MSANII DAVIDO KUTOKA SOUTH…AISEEEE NI SHIIIIIDAA *PICHAZ*

Mpenzi wa Davido.
Staa Davido kutoka Nigeria ambaye amekaa kimya kwenye swala la mahausiano ambapo kama ujaavyo mastaa wengi hutupia picha za wapenzi wao kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyo Zari na Diamond Platnumz hapa bongo lakin Davido kupitia mtandao wa Instagram ameshare picha yake akiwa na mrembo kutoka South Africa ambaye ndie mpenzi anajulikana kwa jina la Faith Nketsi wake anayejishulisha na Modeling huko nchini Afrika Kusini.
Cheki picha zake hapo chini….!
Kweli hapa Davido umepata kitu ndani ya box lake kwa shepu hii ni balaa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI