Tuesday, January 6, 2015

PICHA ZINATISHA: MKE WAKIGOGO ARUSHA AFARIKI KATIKA AJALI MBAYA YA GARI, ULEVI WAHUSIKA!!! *PICHAZ*

ajali mbaya ya gari
Inatisha sana jamani usiendeshe wakati umetumia kilevi.
MKE wa mmiliki wa Hotel ya Aquiline Hotel iliyopo Arusha maeneo ya Stend, amefariki hapo hapo yeye na wifi yake baada ya kupata ajali mbaya ya gari maeneo ya kikatiti.
Watu waliofika eneo la tukio wanasema walikuta chupa za pombe aina ya konyagi ndani ya gariwakati wanawanasua.
ajali mbaya ya gari
Inasemekana ajali hiyo imesababishwa na wao wenyewe baada ya gari yao kuhama njia na kugongana uso kwa uso na bus la abiria.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI