Saturday, January 3, 2015

MTANGAZAJI MAARUFU WA RADIO FREE AFRICA ATIMKIA CLOUDS FM *PICHA*

Fredwaa Kulia Akiwa na Issa Michuzi.
MTANGAZAJI anayejulikana almaarufu kama Fredwaa kutoka Radio Free Africa, sasa yu ndani ya mjengo wa Radio Clouds kipindi cha Power Breakfast, akiungana na Mbwiga, Gerald Hando, Boonge n.k. Mtangazaji huyu alijizolea umaarufu katika kipindi chake cha asubuhi pale RFA, ambapo pamoja na mambo mengine alikuwa na segment inaitwa Vodacom Top 5…

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI