Saturday, January 3, 2015

LULU AMZAWADIA MAMA YAKE MZAZI NYUMBA YA KIHISTORIA…! *PICHA*

Elizabeth Michael, ‘Lulu’
MREMBO na muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia nyumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.
Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi
“H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria sherehe hiyo.
Akielezea usiku huo na kumpongeza Lulu, Flora alifunguka
“Swirie really u killed it tonight..the outfit was marvelous.. I loved it.. It made you look more elegant.. Nice..and above all zawadi uliyompatia mumy was great..Hongera kwa kumpenda mumy wetu that much..lulu amemzawadia mam yake nyumba ambayo iko kimara..it's a very big house na Ni Nzuriiiii sana..it's a wonderful thing lulu..love your mother very much coz you can never get another.. Nawapendaaaa”

 -Flora alimaliza.
Pia kwa upande mwigine mwanadada Lulu aliwashukuru wote walio mtakia heri mama yake na kuhudhuria sherehe hizo.“Napenda kuwashukuru Wote walio mtakia heri ya kuzaliwa mama angu,nawashukuru wote mlioweza ku dedicate muda wenu mkakubali mualiko Na mkafika ktk sherehe maalum iliyoandaliwa kwaajili yake.Najua nina Ndugu,jamaa,marafiki ma mashabiki wengi japo ni wachache tu walioweza kuwepo jana Lkn bdo naamini kwa namna moja au nyingine kila mmoja wenu alikuwa sehemu Ya sherehe Hata kama hakuwepo eneo la tukio Mwisho kabisa Mama Lulu kwa Jina lingine Dada wa Rwechungura amesema niwashukuru kwa niaba yake”

 -Lulu alimaliza

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI