Friday, January 2, 2015

INAUMA SANA! WASTARA WA BONGO MOVIES APOST UJUMBE MZITO MTANDAONI…SOMA HAPA!

"Hii siku ya tal 31 mpka tal 2 January ni siku mbaya sana kwangu unifanya nilie kuliko siku zote uumwa sababu ya mawazo niliambiwa neno ambalo sikuwa tayari kulipokea, marehemu sajuki alisema.nitakufa huku watu bado wanasheherekea mwaka mpya nami nitakufa mwaka mpya alianza kuhesabu saa yake kufa tal 31 na kweli ilipofika tal 1 aliniomba nimtoroshe hosptal nimpelke beach akashike maji ya bahari kwa ya mwisho, ni rahisi sana wew kusoma haya maneno lakini ni maneno mazito na yenye kuchoma moyo wangu kila ifikapo mwaka mpya na siku nyingne si siku zenye furaha kwangu.
 NAWATAKIA FURAHA YA MWAKA MPYA MASHABIKI WANGU.....". Wastara
 Pole sana Wastara, yote ni mipango ya Mungu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI