Thursday, January 8, 2015

DIAMOND PLATNUMZ KUSHUSHA BURUDANI NDANI YA LAGOS NIGERIA LEO, KATIKA TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA *PICHA*


Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akilikagua jukwaa atakapopiga shoo hapo leo kwenye zoezi la utoaji tuzo za Mchezaji Bora wa Afrika katika Jiji la Lagos nchini Nigeria.
(Picha na Diamond Platnumz Facebook Page)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI