PICHA hizi zimezagaa kwenye Mitandao tofautitofauti ya kijamii ambazo zimeleta utata na kudai kuwa msani Maararu wa kizazi kipya Matonya baada ya kulewa vijana wa kihuni walimvua nguo na kumfanya kitendo kibaya.... Mtandao huu unajaribu kumtafuta msanii huyu ili kutoa ufafanuzi wa picha hizi ila kwa bahati mbaya hatukufanikiwa kumpata.
Vijana wa kihuni wakifanya kazi yao.
Chanzo:thechoicetz.com
0 comments:
Post a Comment