Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk. Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk. Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk. Ahamada El Badaoui Mohamed baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,
[Picha na Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment