Wednesday, December 31, 2014

SHILOLE NA NUH MZIWANDA WAPATA MTOTO, NI YULE ALIYEKIMBIA KWAO KUOLEWA! *PICHA*

MUIMBAJI wa ‘Namchukua’ Shilole, ameamua kumchukua binti aitwaye Pendo baada ya kutoroka nyumbani kwao Morogoro akikimbia kuozeshwa kwa lazima. 
Shilole ameposti picha Instagram na kuandika:
Jaman kwa wale mbao leo mmeskiza leo tena ya clouds fm na @dahuucloudsfm milipata kuskia story ya huyo bint hapo kwenye picha! Kuwa ametoroka kwao tanga kuja dar kwA sababu ya kulazimishwa kuolewa akiwa na umri mdogo kiukweli niliposkia hivyo ikaniuma sana nikiwa kama mwanamke kama pia nikaona bora nimchukue mpaka hapo familiya yake itapoMua kujitokeza mm ni moja wapo ya changanoto nying nilizozipita nilipokuwa igunga watoto wadogo kubakwa kupewa mimba wakiwa wadogo na hamna sheria yeyote inayochukuliwA huko vijijin zaid ya kumalizana kifamily!
Hili jambo la wasichana kuolewa wakiwa wadogo hata shule hawajamaliza linanikera mnoooo mnooo jamani dah! ! hiv nyie naomba serikali itie mkazo jambo hili watu wenye tabia kama hizo hatua kali za kisheria zichukuriwe. Bint anaitwa upendo kiukweli anaupendo tup nae hapa anafuraha zote! Mm nikimuangalia ni sawa na bint yangu yaani ni kadogo kabisa dah! Nimejjifikia angewezaje kuishi na mume kwa umri pendo anatakiwa asome ili baadae elim yake imsaidie! Mm napinga ukeketaji wa watoto. Ubakwaji kwa watoto. Mimba katika umri mdogo. Na utoaj mimba. Je ww???????

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI