Friday, December 26, 2014

NICKI MINAJ NA EX BOY WAKE 'SAFAREES' WASHUKIANA MTANDAONI...TIRIRIKA NAYO


Baada ya Nicki Minaj kuachana na ex boyfriend wake Drama zimehamia twitter, ambapo kama ujuavyo kuachwa inakuwa shughuli pevu ambapo imefikia wawili hao kutukana kwenye mitandao ya kijamii 
Wiki zilizopita rapper Nicki Minaj alikuwa akijaribu kuelezea maumivu ya kimapenzi ambayo ameyasababisha  boyfriend ambaye wamedumu kwa zaidi ya miaka 14 years anajulikana kwa jina la Safaree Samuels.
Rapper huyo anasema alijaribu sana kuhakisha kuwa mahusiano yake na Safaree yanaenda sawa lakin Safaree alibadilika ghafla sasa baada ya rapper huyo kuhamishia mijadala mitandao kila mtu anataka kujua historia ya mapenzi ya staa huyo

Hizi ni baadhi ya tweets kutoka rapper Nick Minaj ambaye kwa sasa baragumu linaendelea huko twitter



nick minaj on twitter
nick minaj on twitter

nick minaj on twitter

Safaree Samuels naye alichukua uamuzi wa kumjibu Nick Minaj.

Safaree Samuels on twitter

Safaree Samuels on twitter

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI